ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
habari
Wadau nataka tujuzane hapa kwanini wanadamu wanashindwa kuumba wakati uwezo wa kiungu uko juu yao na wakitamka kitu kinatendeka
mfano: mtu anaweza kumtamkia laana mwenzake na ikampata na kutimia sasa iweje ashindwe
kuumba kitu au mtu kama sisi tuliumbwa kwa mfano wa Mungu na tunaitwa watoto wa Mungu
nauliza tu hapa kwanini tunashindwa kuumba nasi tukawa na kujivuinia
Mfano mwingine madaktari wanaweza kupachika kitu kwa mwanadamu na kikafanya kazi je
uwezo wa kuumba kabisa kwanini hawana?
Tusaidiane hapa nakosa jibu liliokinzaniki KWANINI MWANADAMU ANASHINDWA KUUMBA MTU?
Karibuni wadau