Kwanini mwanamke amekubali kuolewa halafu hataki kuzaa

Inahitajika kusikiliza sababu zake wenda ana jeraha la moyo ulimkosea yawezekana likitatuliwa akaridhia
 
.mbona mnafuatilia maisha ya watu sana
Mi nahisi ndoa kazi yake ni pamoja na kuunda undugu. Kwa maana hiyo ndugu wa mke na mume wanazo "hisa" zao ktk ustawi wa hao wanandugu. Ndio ukaona ikibidi kuwatolea mmoja wa hao wanandoa figo huwa wanafatiliwa kwanza ndugu zaoπŸ˜…
 
Mkuu kuolewa na kuzaa vinahusianaje? Watu si wanaoana sababu wanapendana?

Makubaliano maana yake ni ya wawili sasa kama Ke hajakubali basi sio makubaliano...na mwili ni wa mwanamke unaobeba mimba
Ko kuolewa na kuzaa hakuna mahusiano😒. Kumpenda mtu pekee haifany mtu kukuowa. Lakn me anaowa akitalajia umpe watot na heshima ya mme. Sas ukimpenda mtu na hakupi unachohitaji imekaaje hapoπŸ™„
 
Mimi Dada zangu wawili wamekataa kabisa kuolewa na weusi hata kama wana Dini Wallah
 
Hivi inakuwaja mpaka watu wanaoa?
 
Hapana walifunga ndoa ya kawaida za kwetu bongo bila conditions yyote. Ingekuwa hivi toka mwazo hii ingemubana uncle asingehitaj tena watot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…