Kwanini mwanamke anaachama mdomo anapo fanya haya matendo

Kwanini mwanamke anaachama mdomo anapo fanya haya matendo

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,921
...paka wanja
...anapo vaa heleni
...anapo bana nywele zake

Ukiweza leta jibu unapata zawadi.

IMG_20191029_201818.jpeg
 
Eeh sikuwahi kunotice hiyo kitu, ngoja leo niweke umakini kwa mama la mamaa.
 
hata we mtoa mada unaachama mdomo unapokula
 
Na nyie wanaume kwanini mi.ku.ndu. inakuwa wazi mnapokuwa mnakojoa wakati wa tendo tukufu?
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom