Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mwandishi Yerico Nyerere ameandika makala ndefu katika mitandao ya kijamii akichambua uchumi wa Tanzania katika kipindi ambacho Mwigulu ni Waziri wa fedha.
Yerico anaamini Mwigulu ameshindwa kushawishi uwepo wa sera za kiuchumi zinazowapa confidence wawekezaji wakubwa. Ameeleza kwamba Tanzania ina sera za kiuchumi zisizotabirika hivyo kushindwa kuvutia wawekezaji serious wenye malengo ya muda mrefu.
Je, tatizo ni Waziri wa fedha au tatizo ni mfumo wetu wa kisiasa?