Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Phd isovuka mipaka, anajua hata uendeshaji wa kiosk?Mwigulu ameona wapi uendeshaji wa uchumi mkubwa zaidi ya kukariri vijarida na kujizawadia PhD hata Kenya hakufahamu.
Tozo zisizoelewekaMwandishi Yerico Nyerere ameandika makala ndefu katika mitandao ya kijamii akichambua uchumi wa Tanzania katika kipindi ambacho Mwigulu ni Waziri wa fedha. Yerico anaamini Mwigulu ameshindwa kushawishi uwepo wa sera za kiuchumi zinazowapa confidence wawekezaji wakubwa. Ameeleza kwamba Tanzania ina sera za kiuchumi zisizotabirika hivyo kushindwa kuvutia wawekezaji serious wenye malengo ya muda mrefu.
Je, tatizo ni Waziri wa fedha au tatizo ni mfumo wetu wa kisiasa?
Watanzania tusihamini na kupotoshwa na kila tunachosoma kilichoandikwa na wasomi uchwara,kabla ya kumuhukumu Mwigulu.Mwandishi Yerico Nyerere ameandika makala ndefu katika mitandao ya kijamii akichambua uchumi wa Tanzania katika kipindi ambacho Mwigulu ni Waziri wa fedha. Yerico anaamini Mwigulu ameshindwa kushawishi uwepo wa sera za kiuchumi zinazowapa confidence wawekezaji wakubwa. Ameeleza kwamba Tanzania ina sera za kiuchumi zisizotabirika hivyo kushindwa kuvutia wawekezaji serious wenye malengo ya muda mrefu.
Je, tatizo ni Waziri wa fedha au tatizo ni mfumo wetu wa kisiasa?
Hakuna mwekezaji mwenye akili timamu atakuja kwenye nchi ambayo sera zake zinategemea Rais aliyepo madarakani ameamkaje na siyo dira ya taifaMwandishi Yerico Nyerere ameandika makala ndefu katika mitandao ya kijamii akichambua uchumi wa Tanzania katika kipindi ambacho Mwigulu ni Waziri wa fedha. Yerico anaamini Mwigulu ameshindwa kushawishi uwepo wa sera za kiuchumi zinazowapa confidence wawekezaji wakubwa. Ameeleza kwamba Tanzania ina sera za kiuchumi zisizotabirika hivyo kushindwa kuvutia wawekezaji serious wenye malengo ya muda mrefu.
Je, tatizo ni Waziri wa fedha au tatizo ni mfumo wetu wa kisiasa?
Ni ovyo kabisa Mwigulu huwa anasikilizia Rais anataka nini siku hiyo ndiyo inakuwa sera ake ya uchumiMwigulu ameona wapi uendeshaji wa uchumi mkubwa zaidi ya kukariri vijarida na kujizawadia PhD hata Kenya hakufahamu.
Uchumi unaamliwa kwa matamko ya Rais na siyo sera nzuriTozo zisizoeleweka
Kupaa kwa deni la taifa
Kukosa Mipango endelevu ya kujenga uchumi
Nk
Bado una mawazo ya kijinga sn, Bakhresa ana degree ya uchumi?Mwigulu na Bakhresa nani mchumi wa kweli kati yao? bado tumekariri elimu ya makaratasi, ukimweka Msukuma na Lipumba nani mwenye elimu ya uchumi? elimu yetu hii ya kukariri unampa mtu anakufanyia dissertation nayo ni elimu! Twendeni kwenye uhalisia na siyo hizi PhD za kununuaWatanzania tusihamini na kupotoshwa na kila tunachosoma kilichoandikwa na wasomi uchwara,kabla ya kumuhukumu Mwigulu.
Tujiulize ukweli kuhusu huyu Yeriko, je ana elimu sahihi ya kutueleza kuhusu uchumi ? (Economics).Au ndio hizi elimu za hapa na pale zisizoeleweka?
Ni kweli Dr Mwigulu ana mapungufu kwenye utendaji, lakin je huyu Yeriko anajua economics vizuri na ana weledi?
Hoja ya kwanza ni kutaka kujua je Yeriko ana degree ya uchumi? Au ana elimu ya hapa na pale tu? Huyu hata jina amefeki.
Ni utapeli tapeli tu lakini hakuna la maana anafanya kwenye nchi, Mwigulu anaishi kwa ujanja ujanja pekee sababu ya mifumo yetu ya hovyoNingekuwa Rais wa hii nchi, kuna watu wangeusikia tu huo Uwaziri kwenye bomba. Mmojawapo ni huyu jamaa mnayemjadili hapa. Wengine ni wale wanaopenda kugalagala hovyo kwenye mavumbi.
Inaonekana umesomea shule za kata. Sio rahisi katika hii dunia kufanya analysis za uchumi bila kujua theory zake. Huyo Bakheresa baada ya kuwa, mkubwa kwa sasa,ana wanauchumi wake wa makaratasi wanaojua theory za uchumi na wanaoweza kuelewana na wanauchumi wa dunia hii.Bado una mawazo ya kijinga sn, Bakhresa ana degree ya uchumi?Mwigulu na Bakhresa nani mchumi wa kweli kati yao? bado tumekariri elimu ya makaratasi, ukimweka Msukuma na Lipumba nani mwenye elimu ya uchumi? elimu yetu hii ya kukariri unampa mtu anakufanyia dissertation nayo ni elimu! Twendeni kwenye uhalisia na siyo hizi PhD za kununua
Viongozi ambao ni wachumi wabobezi wapo wengi tu.Mwandishi Yerico Nyerere ameandika makala ndefu katika mitandao ya kijamii akichambua uchumi wa Tanzania katika kipindi ambacho Mwigulu ni Waziri wa fedha. Yerico anaamini Mwigulu ameshindwa kushawishi uwepo wa sera za kiuchumi zinazowapa confidence wawekezaji wakubwa. Ameeleza kwamba Tanzania ina sera za kiuchumi zisizotabirika hivyo kushindwa kuvutia wawekezaji serious wenye malengo ya muda mrefu.
Je, tatizo ni Waziri wa fedha au tatizo ni mfumo wetu wa kisiasa?
vp chief of staff kumbe yupo hai..na je ashajitokeza hadharani au na kuwa hai bado ni rumoursYerico yupi? Huyu huyu aliyetutangazia IDF chief of staff Halevi kafariki?