Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe ulijuage kama kuna instergram?Polen na kaz za hapa na pale nyini wanaume wa dar kwanini mnapenda sana mambo ya instergram mnamatatizo gan nyie mimi naomba mkapimwe akili maana siyo bure
Halafu wanapiga picha zenye ukungu na tekno 340 halafu zipo upande maana wanajiselfisha kwa kugeuza simuNa mtuache mbona nyinyi wa mikoani full Facebook sisi hatusemi?
Huyu hapa mnyaturuHalafu wanapiga picha zenye ukungu na tekno 340 halafu zipo upande maana wanajiselfisha kwa kugeuza simu
haahaaaa!umenifanya nipaliwe chakula we jamaaHuyu hapa mnyaturu![]()
mtindi ni kitu gan?ila hiyo picha mpaka inaoopesha...Huyu hapa mnyaturu![]()