Kwanini mwapenda mambo ya instagram

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Polen na kaz za hapa na pale nyini wanaume wa dar kwanini mnapenda sana mambo ya instargram mnamatatizo gan nyie mimi naomba mkapimwe akili maana siyo bure
 
Polen na kaz za hapa na pale nyini wanaume wa dar kwanini mnapenda sana mambo ya instergram mnamatatizo gan nyie mimi naomba mkapimwe akili maana siyo bure
Mkuu wewe ulijuage kama kuna instergram?
 
Na mtuache mbona nyinyi wa mikoani full Facebook sisi hatusemi?
 
Na mtuache mbona nyinyi wa mikoani full Facebook sisi hatusemi?
Hapana mkuu sisi na facebook wap na lin tuache kufanya ya msingi tufanye ujinga kama huo no no haiwezekani
 
Huwezi kulijiua jambo pasipo kushughulika nalo.

Wewe ni mtumiaji mzuri wa Instagram na ndio maana umekuja na hilo.

Instagram sio mbaya isipokuwa sisi watumiaji, nadiliki kusema Wengi tulioko huko ni wa kupost mambo ya hovyo na umbea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…