mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Hawa viongozi toka wameanza ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa kigezo cha faragha na kisayansi kwa kweli wamefeli pakubwa sana.
Wametatua kero ngapi mpaka sasa, hakuna ushuhuda wa mafanikio ya ziara yao.
Tutegemee kubumbwa kwa takwimu za mafanikio ya ziara yao.
Mwisho rais Samia kaingizwa chaka teuzi za hawa viongozi.
Makalla Dar ilimshinda, akapelekwa mwanza akachemka, leo eti mwenezi CCM?, anguko la chama tawala laja.
ANC cha afrika kusini kimeshanyolewa