johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tumsubiri FaizaFox anaweza kutupa darasa!Mimi kinachonishangaza zaidi huwa ni sukari. Kila mwezi wa Ramadhani lazima sukari iadimime au ipande bei. Sijui kuna uhusiano gani kati ya bei ya sukari na mwezi wa ramadhani
Baada ya mfungo mwili huhitaji sukari ili upate nguvu. Vyakula vingi vya futari huwekwa sukari kama uji, chai, tambi nk.Mimi kinachonishangaza zaidi huwa ni sukari. Kila mwezi wa Ramadhani lazima sukari iadimime au ipande bei. Sijui kuna uhusiano gani kati ya bei ya sukari na mwezi wa ramadhani
Inaonekana waislam wanatumia sukari nyingi sana wakati wa mwezi wa ramadhani.Mimi kinachonishangaza zaidi huwa ni sukari. Kila mwezi wa Ramadhani lazima sukari iadimike au ipande bei. Sijui kuna uhusiano gani kati ya bei ya sukari na mwezi wa ramadhani
Nimekuelewa manka!Baada ya mfungo mwili huhitaji sukari ili upate nguvu. Vyakula vingi vya futari huwekwa sukari kama uji, chai, tambi nk.
Sukari hutumika sana mwezi wa Ramadhani.
Ameshindwa kutuokoa kabla ya kufunga nadhani hawezi kutuokoa kwa lolote hata tusipokula miaka 3.Tufunge tumuombe Allah atuokoe na Covid 19
Unashangaa nini wakati post namba moja ina jibu tayari. Isome vizuri.Mimi kinachonishangaza zaidi huwa ni sukari. Kila mwezi wa Ramadhani lazima sukari iadimike au ipande bei. Sijui kuna uhusiano gani kati ya bei ya sukari na mwezi wa ramadhani
Post namba moja ina jibu tayari. Isome vizuri.Tumsubiri FaizaFox anaweza kutupa darasa!