Kwanini Mwigulu hapendekezi tuhamie Zambia?

Kwanini Mwigulu hapendekezi tuhamie Zambia?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Amesikika Mwigulu kila anapotusokomeza tozo akijimwambafy. Kama hatutaki tuhamie Burundi.

Kwanini siyo Zambia ambako utawala wa haki kwa sasa ndiyo kwao?

IMG_20220819_141624_340.jpg

IMG_20220819_153813_177.jpg

Kwanini kutuchulia hivi huyu ndugu?

Kwa kutuona je haswa?
 
Hapo ndipo unajikuta peke yako na bango lako huku umezungukwa na Mapolisi.

Lakini Yanga ikishinda tunaandamana kwa maelfu.

Pana haja ya kujizatiti kuondokana na unyonge huu. Ukombozi una gharama zake. Na nchi itakombolewa na wenye moyo, siyo na ming'ombe.
 
Pana haja ya kujizatiti kuondokana na unyonge huu. Ukombozi una gharama zake. Na nchi itakombolewa na wenye moyo, siyo na ming'ombe.
Leo kwenye kijiwe cha kahawa nimekuta kuna kuna jamaa anamtetea sana Waziri wa Tozo nikamuuliza jina lake akaniambia anaitwa Mkumbo 😂
 
Leo kwenye kijiwe cha kahawa nimekuta kuna kuna jamaa anamtetea sana Waziri wa Tozo nikamuuliza jina lake akaniambia anaitwa Mkumbo 😂
Hiyo ndiyo ile ming'ombe sasa ambayo hadi tutakapo jitenga nayo kwa vitendo sote tutaendelea kusomeka kuwa kama yenyewe tu.
 
Kwa nini mkuu?
Muda mwingi yupo busy twitter hana utofauti na Donald Trump. anatwitt vitu vya kuonesha public sympathy kwa Zambia na kwa dunia ili aonekane Rais bora na mpenda demokrasia naona ana tafuta wajinga wa kuwateka .
 
Back
Top Bottom