Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,576
- 3,094
Sio Bure iko shida mahala🤔.Mpaka mwili unatetemeka na napata kizungungu na moyo kwenda mbio.
Nashindwa kuelewa hii hali maana nikimuona mwanamke hasa Hawa wa Rika langu awe amevaa vizuri au vibaya mawazo yanaelekea huko.Mpaka mwili unatetemeka na napata kizungungu na moyo kwenda mbio.
Kumbe wenye kazi hawapigi game?Utakuwa huna kazi za maana za kukuingizia kipato, ndio maana unawaza sana ngono, acha kusingizia mwili, ni ubongo wako hauna kazi ya maana ya kufanya, yaani uko free muda mwingi, huna la maana la kufanya, so ubongo wako unawaza ngono tu, umaskini huo
Huu ndo ukweli atafute kazi aone mtu unamke ndani unaludi umechoka inapita hata wiki mwanamke ndani humgusi dogo yupo kwa shemeji anashinda sebureni na rimoti ya tv kutwa nzimaUtakuwa huna kazi za maana za kukuingizia kipato, ndio maana unawaza sana ngono, acha kusingizia mwili, ni ubongo wako hauna kazi ya maana ya kufanya, yaani uko free muda mwingi, huna la maana la kufanya, so ubongo wako unawaza ngono tu, umaskini huo
Omba Mungu akutenge na roho ya uzinzi.Nashindwa kuelewa hii hali maana nikimuona mwanamke hasa Hawa wa Rika langu awe amevaa vizuri au vibaya mawazo yanaelekea huko.Mpaka mwili unatetemeka na napata kizungungu na moyo kwenda mbio.
Hii kama sio chai sijuiFahamu kuhusu kanuni au sheria ya uvutano( law of attraction).
Kadiri unavyofikiria kuhusu kuacha ngono au zinaa ndivyo mawazo na fikra zako zinavutika na kushawishi uwaze ngono au zinaa na kupelekea kujikuta unafanya uzinzi au uasherati.
Jifunze kuwaza vyema kwa kuwaza mawazo ambayo ni chanya. Je, hili linawezekanaje? Mawazo au fikra zinazokuja katika vichwa vyetu huwa ni matokeo ya yale ambayo tunatumia muda mwingi kujishughulisha nayo au kuyafikiria.
Badala ya kutumia muda mwingi kufikiria kuhusu kuacha ngono au kuzini jitahidi ufikirie jambo jingine zaidi ya hilo unalofikiria kwa sababu jinsi unavyofikiria kuacha ngono ndivyo neno ngono ngono ngono ngono linajitokeza mara nyingi katika fikra zako na kujikuta ukiangukia huko huko unakowaza.( Vinafavofanana huvutia vifananavyo) kwa maana ya like attract like.
Unachokiwaza ndicho kinachokutokea mara nyingi kama sio mara zote.
Nitakupa mfano, Kuna binti ambaye alikuwa ni msaidizi wa nyumbani
( dada wa kazi) alikuwa anavunja glass na vyombo vya udongo kila siku wakati anaosha vyombo. Alikuwa binti mzuri mwenye nidhamu na aliwapenda sana watoto wetu na watoto walimpenda pia.
Sio kila siku ila mara nyingi nilikuwa nikipata mashitaka ya binti wa kazi kuvunja glass, sahani, n.k
Kwa kuwa nilikuwa na mambo mengi sikutilia sana maanani suala hilo hadi siku moja ambapo mke wangu ambaye ni mama watoto wangu aliniambia kuwa amechoka na tabia ya binti atamaliza vyombo vyote kwa kuvunja wakati anaosha.
Niliamua kulichukulia jambo hilo serious ili niweze kutatua tatizo na ni kweli nilifanikiwa. Nilichokigundua cha kwanza mke wangu alikuwa anapenda sana vyombo vyake vya ndani na thamani kwa kifupi alikuwa obsessive na hii ilipelekea binti kupata uoga na kujikuta anavunja vyombo.
Wakati tunatoka kila siku asubuhi mke wangu alikuwa akimwambia binti wa kazi uwe mwangalifu usivunje vyombo vyangu. Kwa hiyo neno lilomkaa binti wa kazi ni onyo au tahadhari ya kutokuvunja vyombo na hii ilipelekea kumtengenezea hali ya uoga au phobia na kupelekea vyombo kuvunjika. Hii ina maana kwamba mawazo ya binti ni kuepuka au kujizuia kuvunja vyombo na hii ilimnyima sana amani.
Siku moja jumapili tukiwa wote nyumbani nilimuangalia na kumtazama binti wa kazi akiwa anaosha vyombo yeye akiwa hajui kama ninamuangalia! nikaona mikono yake ikitetemeka kwa woga nikamsemesha nikamuuliza kuhusu vyombo vya udongo au glass akaniambia ukweli kwako alipotoka hakuwahi kutumia vyombo vya aina hiyo pia akaniambia wakati anaanza kazi mama ambaye ni mke wangu akimwambia chonde chonde kuhusu vyombo vyangu.
Nilichoamua kufanya siku hiyo nilimuita mama na watoto jikoni halafu nikamwambia binti akae pembeni, nikachukua sahani ya kwanza ya udongo nikaishika na kuidondosha chini ikavunjika paaah, halafu nikachukua nyingine nikaidondosha tena ikavunjika tena! Aisee mke wangu alinirushia neno wewe baba nanii umewehuka? Mbona unavunja vyombo? Wakati anashangaa nikachukua glass nikairusha juu ikadondoka na kuvunjika. Kiukweli niliona mama watoto wangu akifura na kunisonya kwa hasira sana, nafikiri ningekuwa karibu yake ningekula kibao cha shavu, wakati hayo yanaendelea mimi nacheka sina mbavu na watoto wangu wanacheka hawana mbavu, binti wa kazi anatetemeka kwa uoga!
Baada ya kuvunja vyombo kama vitatu au vinne niliwaita wote sebuleni akiwapo mke wangu kwa kikao cha dharura, kiukweli bibiye alifura kwa hasira hakuja akaenda chumbani.
Wakati tukiwa sebuleni nilimpa ushauri binti wa kazi kuhusu kuacha uoga na kwamba vyombo anavyovivunja havina thamani kubwa kama yeye binti alivyo na thamani katika familia yetu na nikamwambia vyombo vyote vilivyovunjika vinaweza vikanunuliwa na kwa kuwa mimi nimevivunja nitavinunua kesho yake. Nilimuangalia binti nikaona kwa mara ya kwanza ametabasamu na kufurahi aliposikia kuwa vyombo havina thamani kubwa vinapatokana na vinanunuliwa. Wakati huo watoto wangu walikuwa wakicheka tu na sura zao kama zinaniambia hizo songi zako sijui kama mkeo atazielewa Leo.
Kwa hiyo nilimwambia dada arudi jikoni akafanye usafi kufagia vyombo vilivopasuka na kuendelea kuosha vyombo.
Baada ya kikao mwanaume nikazama chumbani nikamkuta bibiye katulia tuli kavimba balaa. Nikavua zangu nguzo nikabaki na boksa halafu sikuongea chochote, nikamtazama usoni kwa jicho la huba na mahaba nikaona taratibu anavuta pumzi na kushusha pumzi nikatambua huyu ameshaelewa somo na anajua ninachohitaji. Kilichoendelea chumbani kibaki chumbani.
Tokea siku hiyo sikusikia malalamiko tena ya dada wa kazi kuvunja vyombo n.k
geniusFahamu kuhusu kanuni au sheria ya uvutano( law of attraction).

Fahamu kuhusu kanuni au sheria ya uvutano
Jifunze kuwaza vyema kwa kuwaza mawazo ambayo ni chanya.