Kwanini mzazi anapata jeuri ya kukuchapa?

Kwanini mzazi anapata jeuri ya kukuchapa?

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,414
Mzazi anakuchapa si kwa ajili ya kukuonya, anakuchapa kwa kuwa unakula ugali wake, kukupiga ni kutuliza machungu tu hakuna lingine
 
Wewe hapo ndo nyungu,kuna uhusino gani kumpiga Mtoto na kuelewa,mbona kanisani hawachapi,
 
Back
Top Bottom