mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
mkuu ungetumia akili japo kidogo kuniuliza swali hilo kama hujui nilichouliza nyamazaJiulize kwanza aliipataje,?
umepaniki bure, jamaa amekuuliza swali la msingi sana. Ikijulikana aliipataje, maswali yako yanakua rahisimkuu ungetumia akili japo kidogo kuniuliza swali hilo kama hujui nilichouliza nyamaza
Mkuu ningejua alivyoipata wala nisingeuliza kwanini anaishikiliaumepaniki bure, jamaa amekuuliza swali la msingi sana. Ikijulikana aliipataje, maswali yako yanakua rahisi
Hili swali ni la msingi sana aliipataje?Jiulize kwanza aliipataje,?
Simba ni Mali ya Bi Hindu, Kilomoni ni mwenziWadau nimekuwa nafuatilia sana nyuzi mbalimbali humu juu ya Klabu ya Simba.Pia nimemsikia Mzee Kilomoni akisema anayo Hati Klabu ya Simba na haitoi.Najiuliza kwanini Mzee Kilomoni anakuwa na Hati ya Klabu ya Simba?Pili kwanini Mzee Kilomoni anasema Haitoi kwa Uongozi?Je Klabu ya Simba ni mali ya Mzee Kilomoni?Je Mzee Kilomoni anaidai Klabu ya Simba ndio sababu ya kuishikiria Hati?Na mwisho kama Hati ni ya Klabu ya Simba kwanini iwe kwa mtu binafsi na isiwe Klabuni?
Mtikila rest in eternal peace. Walalahoi hadi Leo tunazo kanda zakoHii battle tamu sana!
Mzee anamjambisha Gabachori!
Umeulizwa swali dogo na la msingi kweli ila kwa upeo wako mdogo ukahisi unakejeliwa ukapanic.mkuu ungetumia akili japo kidogo kuniuliza swali hilo kama hujui nilichouliza nyamaza
ahaaaa narudia tena sijui alivyoipata ndio maana nikalileta hapa ili anayejua aseme tatizo liko wapi mkuu?Umeulizwa swali dogo na la msingi kweli ila kwa upeo wako mdogo ukahisi unakejeliwa ukapanic.
Sawa mkuuahaaaa narudia tena sijui alivyoipata ndio maana nikalileta hapa ili anayejua aseme tatizo liko wapi mkuu?
Umeulizwa swali la msingi sana ila kwakua majibu ya uzi wako uļikuwa nayo tayari ndo mana umepanikimkuu ungetumia akili japo kidogo kuniuliza swali hilo kama hujui nilichouliza nyamaza
Asante kwa kunipanikiamkuu ungetumia akili japo kidogo kuniuliza swali hilo kama hujui nilichouliza nyamaza
Mtikila anaingiaje hapo mkuu au naye alikuwa mzee katinya wazee wa 5imbaMtikila rest in eternal peace. Walalahoi hadi Leo tunazo kanda zako
mkuu ungetumia akili japo kidogo kuniuliza swali hilo kama hujui nilichouliza nyamaza