JOSE MOURINHO
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 231
- 74
Hivi ni Kwanini mzee small kazikwa bila kuagwa viwanja vya leaders kama wanavyofanyiwa wasanii wengine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni Kwanini mzee small kazikwa bila kuagwa viwanja vya leaders kama wanavyofanyiwa wasanii wengine?
Hivi ni Kwanini mzee small kazikwa bila kuagwa viwanja vya leaders kama wanavyofanyiwa wasanii wengine?
Kwasababu hakuna msikiti
Mzee small siyo kafiri ndio maana hakufanywa biashara kama wale wengine.
Mzee small siyo kafiri ndio maana hakufanywa biashara kama wale wengine.
Acha usenge ww,inamaana wakristo wanaoagwa ma makafiri.....kuwa na heshma na dini za watu
Waislam huwa hawaagi hata ck ikitokea JK amefariki hataagwa km wengne
Mzee small siyo kafiri ndio maana hakufanywa biashara kama wale wengine.
Mzee small siyo kafiri ndio maana hakufanywa biashara kama wale wengine.
KAFIRI NI NANI?
Naanza kwa jina la Mwenyezi Mungu ambaye hakuzaa na wala hakuna anayefanana nae..
Watu wengi huchukia na wengine kupigana kisa kaitwa kafiri.
wengi hufata mkumbo tuu bila kujua maana halisi ya neno Kafiri.
Kafir(i) ni neno linaloweza kutumika katika namna mbalimbali kama ifuatavyo:
>> Huko Indonesia na Malaysia kuna aina ya limao liitwalo Kaffir lime (hutamkwa kafiri) na scientific name ni Citrus hystrix, aina hii ya limao huwa na mabunyebunye (rough and bumpy) ni kama vile uso wa mtu mwenye chunusi.
>> Ukiangalia katika Wikipedia unagundua kuwa katika kipindi cha ukoloni huko Africa Kusini, mabwana shamba wa kikaburu walikuwa wakiwaita watu weusi hasa ambao sio wakristo (Waislamu na dini nyingine) kuwa ni makafiri.
>> Bado tukiendelea kuangalia katika wikipedia utakuta neno Kaffir ni neno la kiarabu lenye maana non believer yaani asiye muumini/mpingaji au mpinzani (protestant) wa dini flani. Na neno hili la kiarabu hutumika mara nyingi na waislamu dhidi ya waumini wa dini nyingine (non-muslims)..
Hivyo HILI SIO TUSI kama wengi wamekuwa akidhani na ninaomba tuwaeleweshe na wenzetu ili waache kuchukia pindi waitwapo makafiri
>> Tukirudi katika kitabu kitukufu cha Quran, tunapata ushahidi kuwa hatuwaiti hivyo kwa utashi wetu bali ni MwenyeziMungu (Allah) mwenyewe ndo kasema katika kitabu hicho kitakatifu cha Quran 5:72-73 kama ifatavyo;
QURAN 5:72-73
72. Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu!
Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru.
TAFSIRI:
Wenye kudai kuwa Mwenyezi Mungu yu katika Isa bin Maryam hata akawa yeye Mungu, kama wasemavyo Wakristo hii leo, hakika wamekufuru! Yeye Isa hana dhambi ya haya, kwani hakupata kudai hivyo hata mara moja. Bali yeye aliwaamrisha Wana wa Israili wamsafie imani Mwenyezi Mungu peke yake kwa kusema: Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye niumba mimi na nyinyi, na ndiye anaye niendeshea mambo yangu yote, na kwamba kila mwenye kumshirikisha Mwenyezi Mungu malipo yake ni kuwa hatoingia Peponi kabisa, bali ataingia Motoni, kwa kuwa amekiuka mipaka ya Mwenyezi Mungu. Na mwenye kuvunja mipaka yake hataepuka na adhabu.(Yesu kasema: "Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja." Marko 12.28. "Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe".Yohana 5.30 "Ninapaa kwenda kwa...Mungu wangu naye ni Mungu wenu." Yohana 20.17 )
73. Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja.
Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru
TAFSIRI:
Haiwi mwenye kudai kuwa Mwenyezi Mungu ni mmoja katika Utatu, kama wadaivyo Wakristo sasa, awe anamuamini Mwenyezi Mungu.!! Na hakika iliyo thibiti ni kuwa hapana mungu ila Mwenyezi Mungu mmoja pekee. Na ikiwa hawa walio potoka hawatoacha itikadi zao potovu, wakarejea kwenye ut'iifu wa Mwenyezi Mungu, hapana budi ila itawasibu adhabu kali. (Biblia inasema kuwa ya kwanza katika Amri Kumi alizo pewa Musa ni: "Usiwe na miungu mingine ila mimi." - Kutoka 20.3. "Wewe umeonyeshwa haya, ili upate kujua ya kuwa Bwana ndiye Mungu, hapana ila yeye." - Kumbukumbu la Torati 4.35. Katika Injili ya Yohana 17.3 Yesu anamsemeza Mwenyezi Mungu: "Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma.")
NARUDIA TENA KUWA KAFIRI SIO TUSI BALI NI JINA TUU LENYE MAANA MPINGA DINI AU ANAEENDA KINYUME NA AMRI ZA MWENYEZI MUNGU.
NI KAMA VILE MTU AKUITE MCHAMUNGU, MZINZI AU MCHEZA MPIRA YAANI NI JINA LINALOELEZEA WASIFU FLANI
Shule yako ni ndogo sana.....una elimu ya madrasa tu
....
inasikitisha sana kulumbana eti kisa ni dini.za kigeni ambazo hazina majibu ya maswali yetu mengi, wake up africans tuache ujinga wa kukaririshwa story za mababu wa kiyahudi na kiarabu
inasikitisha sana kulumbana eti kisa ni dini.za kigeni ambazo hazina majibu ya maswali yetu mengi, wake up africans tuache ujinga wa kukaririshwa story za mababu wa kiyahudi na kiarabu