Kwanini Mzee Wasira hajaenda msibani kwa Prof. Sarungi? Au naye karithishwa ugomvi? Wazee wenzake kutoka Mara tumewaona msibani

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Chama cha Mapinduzi kimejotenga na Prof. Sarungi 100%. Sidhani kama wakati akiwa hai alifahamu huu ugomvi uliopo.

Lakini chakushangaza nikuona hata Mzee Wasira ambaye ni ndugu na mzee aliyekua pamoja na Prof amegoma kwenda msibani.

Tafsiri ya hizi tabia zakushiriki msiba kwa kuambiwa tunazitoa wapi? Kwamba flan asiposhiriki na Sisi kweli tukae kimya?

Soma Pia:
Uchawa si asset ni liability kwa taifa.
 
Nahisi hata uchawako ujafika waccm mkaungana muonekane
 
Back
Top Bottom