Chama cha Mapinduzi kimejotenga na Prof. Sarungi 100%. Sidhani kama wakati akiwa hai alifahamu huu ugomvi uliopo.
Lakini chakushangaza nikuona hata Mzee Wasira ambaye ni ndugu na mzee aliyekua pamoja na Prof amegoma kwenda msibani.
Tafsiri ya hizi tabia zakushiriki msiba kwa kuambiwa tunazitoa wapi? Kwamba flan asiposhiriki na Sisi kweli tukae kimya?
Soma Pia:
Uchawa si asset ni liability kwa taifa.