Kwanini naamini hakuna mikataba ya siri tena! Hata ya kibiashara

Kwanini naamini hakuna mikataba ya siri tena! Hata ya kibiashara

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Mimi naamini zile enzi za mikataba ya kisiri ya serikali na wafanyabiashara tofauti kama Rostam umepitwa na wakati.

Sababu ni hii siri zilizokuwepo huko nyuma zilikuwa kwasababu mikataba ni mibaya na aibu kwa jamii. Sasa tumefika sehemu ambayo hata mikataba mibaya bunge letu linapitisha wazi. Sasa hakuna sababu yeyote kwa serikali au wafanyabiashara kuficha chochote. Hii ndiyo sababu ya mimi kuamini wanaosema Rostam ka sign mikataba ya siri wanakosea cha kujiuliza "Kwa uoga upi Rostam alionao" Kwa uoga upi serikali walionao!
 
Nasikitika. Usalama wa taifa hawako kwa manufaa ya nchi, wako kwa ajili ya kulinda maslahi ya wanasiasa watawala
 
Back
Top Bottom