Kwanini naamini Zuchu atafanikiwa kwenye brand yake mpya ya mavazi

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066




Kwanza hakuna ubishi Zuchu ndio msanii wa kike namba moja East and Central Afrika.

Pili ndio msanii mwenye influence kubwa kwa sasa Tanzania kwenye lifestyle kuliko msanii yoyote yule.

Kila binti sasa hivi anataka kuwa Zuchu kuanzia mavazi, mapozi, swaga na ustaa.

Ama kwa hakika amejua kuwa brand.

Kwa hiyo anaposema anakuja na brand yake ya mavazi kazi yake itakuwa ndogo sana.

Mpaka sasa kuna hereni tayari zinaitwa Zuchu, kuna rasta zinaitwa Zuchu na kila dada mjini anataka kuweka pin puani kama Zuchu.

Kwa kifupi kizazi jeuri au wanawaita generation Z ni kijiji cha Zuuh.
 
Hivyo vitu anavyosema ni vyake si kavipata kwa kanye west and the co. Wabongo bhana
 
kwenye hizo sifa ongeza,"ni msanii mwenye umbo la kipekee "(hana tako)
Sio kila mwanaume anapenda dem mwenye tako kubwa, me spending mwanamke mwenye tako napenda kimodo kama zuchu ndo vitu vyangu
 
Sio kila mwanaume anapenda dem mwenye tako kubwa, me spending mwanamke mwenye tako napenda kimodo kama zuchu ndo vitu vyangu
English figures 🙌

Mzungu akoseagi selection zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…