Ni rahisi sana ukitaka kujirudisha kwenye mood ya kusoma,jaribu kutoka nje for evening or night walk hata kwa dk 15 tu,na utakapokuwa katika matembezi hayo jaribu kutofikiria chochote kuhusu kusoma na ujifikirishe na mambo mengine tu hata kama ni ya mapenzi ili kuihamisha akili na kuiwezesha kupumzika kwa muda.Kisha ukirudi ndani oga,na urudi kwenye kitabu utakuja kunipa majibu.Lakini nakutahadharisha tu kama unapoishi kuna vibaka ni bora usitoke usije kukabwa bure.
Carrot and Stick my dia....................ignore the feelings focus on the Must
Nakumbuka enzi zangu and I am counting myself lucky....ilikuwa nikisoma kitu nikiona hakipandi basi najipa moyo hakitatoka kwenye mtihani na HAKITOKI kweli and whatever I am dreaming kuwa kitatoka KINATOKA ..........so I stuck on that rule...............I ended up getting Div. I.6 form Six and a GPA of 4.3 university level................... am not saying kuwa unatakiwa uote no.........but know your purpose of being where you are and weigh between wale ambao wangetakiwa kuwa hapo ulipo na hawapo .............
All the Best
I love "Programming" and that needs time,....na ukiona huja cheza na computer week nzima kwa sababu huna mood ujue umepoteza kama mwaka hivi,that's why nachuja mawazo ya wadau hapa niondoke na moja!
Dah,kwanza the counseling itself i appreciate!
Then kwa matokeo hayo aiseee,you are bright!
Thanks a lot
Carrot and Stick my dia....................ignore the feelings focus on the Must
Nakumbuka enzi zangu and I am counting myself lucky....ilikuwa nikisoma kitu nikiona hakipandi basi najipa moyo hakitatoka kwenye mtihani na HAKITOKI kweli and whatever I am dreaming kuwa kitatoka KINATOKA ..........so I stuck on that rule...............I ended up getting Div. I.6 form Six and a GPA of 4.3 university level................... am not saying kuwa unatakiwa uote no.........but know your purpose of being where you are and weigh between wale ambao wangetakiwa kuwa hapo ulipo na hawapo .............
All the Best
Aisee huyu jamaa nimetokea kuvutiwa sana na posts zake, ni mtu flani ambaye nimeona kuwa asilimia kubwa ya maneno yake yana logic na busara ndani mwake...
Ubarikiwe VoiceOfReason
Carrot and Stick my dia....................ignore the feelings focus on the Must
Nakumbuka enzi zangu and I am counting myself lucky....ilikuwa nikisoma kitu nikiona hakipandi basi najipa moyo hakitatoka kwenye mtihani na HAKITOKI kweli and whatever I am dreaming kuwa kitatoka KINATOKA ..........so I stuck on that rule...............I ended up getting Div. I.6 form Six and a GPA of 4.3 university level................... am not saying kuwa unatakiwa uote no.........but know your purpose of being where you are and weigh between wale ambao wangetakiwa kuwa hapo ulipo na hawapo .............
All the Best
mi napita tu samahani
Sina mood ya kusoma for a week now na test nyingi na mtihani wa mwisho unakaribia,any idea why?
hiyo hali huwa inatokea sana, mara nyingi huwa inatokea kama ulikuwa umepiga msuli sana hapo nyuma, lakini cha muhimu jaribu kupitia vile vitu ambavyo haviitaji umakini sana (vitu laini) na sometimes ni vizuri kwa kipindi kama hichi kusoma yale masomo uanyoyapenda sana kwani akili yako itakuwa iko tayari kupokea na baada ya muda utarudi kweny reli