GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama kuna Mbunge ambaye si tu hapendwi bali pia hakubaliki Kawe ( hadi na Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe ) basi ni huyu 'Tapeli wa Kiroho na Kiimani' Josephat Gwajima (alias) Askofu japo nikimfananisha na Maaskofu ninaowajua wa Madhehebu mengine naona hatoshei (hafai) hata kidogo Kuitwa (kuwa) Askofu kama anavyojiita (anavyoitwa) na wanafiki wengi.
Leo Mwenyezi Mungu anisamehe ila kuna mambo ambayo Hayati Rais Dkt. Magufuli alikuwa akiyafanya na kuyaamua ambayo muda mwingine yalinifanya nijiulize je, Kichwani mwake zilikuwa zimetia au nae alishaanza kuwa na ubongo wa 'Kipa Katoka' ila nilikuwa sijui?
CCM huwa wana Vikao vyao vya Tathmini na kabla ya Mchakato ule nilitaarifiwa kuwa Ripoti ya Mtu anayefaa Kugombea Ubunge wa Kawe ilienda Kwake (Hayati Rais Dkt. Magufuli) ila nadhani kwa "Ukabila' wake na 'Ubabe' wake Yeye akalazimisha kuwa Askofu Gwajima ndiyo apite (apitishwe)
Kabla ya lengo lake (Hayati Rais Dkt. Magufuli) la 'kulazimisha' Askofu Gwajima awe Mbunge wa Kawe nae pia 'akalazimishwa' na Israeli kwenda 'kulala' moja kwa moja Kwao Chato Mkoani Geita.
Hata mwaka Mmoja baada ya Kifo chake Hayati Rais Dkt. Magufuli haujafika tayari Askofu Gwajima anaanza Kuonyesha Rangi yake halisi juu ya utawala (Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan) kwa kuwa ni 'mpingaji' wa kila maamuzi yenye tija na maslahi kwa watanzania na Taifa zima la Tanzania.
Na hapa leo GENTAMYCINE niwaombe sana wana CCM mpaka Mwenyekiti Taifa CCM Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tulieni hivyo hivyo dawa iwaingieni kwa 'ukorofi' anaoufanya Kwenu Askofu Gwajima kwani huyo ni nyoka 'hatari' mliyemfuga wenyewe kwa 'unafiki' wenu na sasa acheni 'awang'ateni' vizuri ili mkome na mjifunze kwa siku za baadae.
Kwa Makusudi kabisa leo nachukua upande wa Askofu Gwajima kwa 'Kumchochea' azidi Kuwachanganya mpaka 'mvurugane' vizuri kuanzia huko Serikalini Kwenu hadi ndani ya Chama CCM labda mtakuja Kujifunza katika Uchaguzi ujao wa 2025 ambapo hamtowapitisha Watu kwa Mapenzi yenu bali kwa Mapenzi ya Sisi Wapiga Kura ambao ndiyo tunawajua Watu sahihi wa Kutuongoza Jimboni.
Nipo karibu sana tu na Waandamizi wa CCM Kawe na kwa jinsi wasivyomkubali na kumpenda huyu Mbunge 'mliyewalazimisha' kutokana na Ukabila wenu na 'Madili' yenu mliyotaka kupiga nae baadhi yao wanasema ikiwapendeza wanawaweza 'Kumpumzisha' kilazima kwa 'Maturubai' kuwekwa Nyumbani Kwake Salasala na nyimbo za 'Parapanda Inalia' zikaimbwa mno tu.
Askofu Gwajima komaa hivyo hivyo tu.