Kwanini namba za simu na calculator zimewekwa tofauti?

Kwanini namba za simu na calculator zimewekwa tofauti?

BatteryLow

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
446
Reaction score
149
Namba za simu zinaanza na 1 hadi 3 pale juu mwanzoni, lkn calculator zinaanza na 7 hadi 9, nimechunguza mara nyingi nimekuta hii kitu, iko ikoje hii wana jf?
upload_2016-7-9_16-39-39.png
 
Kwa nijuavyo mimi inawekwa hivo ili kuongeza speed ya typing, the same na num. pad ya computer keyboard Jus imagine hiz qwerty keyboard zingekua zinaanza abcedfghij ingekuaje... Ni mawazo yangu mimi be the first to reply, ngoja tuone na wengine
 
Hamna sababu rasmi ila kiasilia keypad za simu zimeambatanishwa na herufi (kwaajili ya sms) sasa wangefanya zianzie chini ingewachanganya watumiaji....calculator zilianza kutoka kabla ya simu...hivyo watu wa simu ndio waliodepart kwenye huo mfumo huenda waliona ndio rahisi zaidi....
 
Calculator ni kwaajili ya kupigia mahesabu ya pesa.

Na dhumuni kubwa ni mahesabu ya pesa nyingi.

Huwezi kuweka namba ndogo juu wakati mpiga mahesabu anatumia sana namba kubwa.
 
Manufacturer's standards and differentiations
 
Kwasababu hivyo vitu ulivyotaja ni kwa ajili ya kazi mbili tofauti
Hivyo kila moja imetengenezwa ili kurahisisha matumizi yake
 
Back
Top Bottom