Namba za simu zinaanza na 1 hadi 3 pale juu mwanzoni, lkn calculator zinaanza na 7 hadi 9, nimechunguza mara nyingi nimekuta hii kitu, iko ikoje hii wana jf?
Kwa nijuavyo mimi inawekwa hivo ili kuongeza speed ya typing, the same na num. pad ya computer keyboard Jus imagine hiz qwerty keyboard zingekua zinaanza abcedfghij ingekuaje... Ni mawazo yangu mimi be the first to reply, ngoja tuone na wengine
Hamna sababu rasmi ila kiasilia keypad za simu zimeambatanishwa na herufi (kwaajili ya sms) sasa wangefanya zianzie chini ingewachanganya watumiaji....calculator zilianza kutoka kabla ya simu...hivyo watu wa simu ndio waliodepart kwenye huo mfumo huenda waliona ndio rahisi zaidi....