Kwanini napenda sana kufanya mapenzi?

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Mimi mwenzenu sijui nina tatizo gani,yaaani napenda sana kufanya mapenzi,kwa wiki nafanya hata mara 5/4.

Na nikilala na mwanamke huwa kesho yake lazima alalamike eti napanda kila mara.

Waungwana ambao ni wataalamu niambieni hii kitu kupenda kusex inatokana na nini?
 
Mkuu kupenda kusex ni kutegemea na aina ya vyakula unavyokula. Ukitumia vyakula vyenye proteins kama maharage na kamanda, zaidi tegemea matokeo kama hayo, pia unavyojiweka mawazo yako zaidi muda wote unawaza ngono ni lazima uhitaji hiyo kitu kila cku
 
Alaaa kumbe?
 
Ni ulevi kama ulevi mwingine wowote. Kila jambo kwa kiasi!
 
Huna stress wala majukumu na unakula vizuri na changamoto kwako no ndoto za kufikirika
 
Huna stress wala majukumu na unakula vizuri na changamoto kwako no ndoto za kufikirika
Na watu siku hizi walivyogundua kula vyakula vya asili basi wanawake wa wanaume genye muda wote, sasa kama huna kitu cha kukuweka busy ndo matokeo yake haya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…