Kwanini napenda sana kufanya mapenzi?

hatarii na nusu... unatoa mapenzi Mara 365 na robo bila kukosa kwa mwaka..

subirii kupimwa tezi dume
 
Sidhani kama kuna ubaya kwenye ilo piga mzigo tu mkuu
 
Hapa JF huwa unamtaka nani mkuu?....Taja ID yake ila usisahau pia kutupia kapicha!
 
Hata mimi napenda sana aisee. Hasa ukiwa na m baby mkali na anakuelewa. Mbona rahaaa. Mi na hii mvua dozi ni 7*1
 
Duh badili mfumo wa kufikiri .Jiwekee malengo makubwa ya maisha.Ni ngum sana mtu mwenye malengo ya maisha na anayapitia kila siku kujikuta analalamikia mawazo ya ngono.Mwili unarespond kilichopo akilini. So jiulize mda mwingi ukiwa mwenyewe unawaza nini?Kama unawaza ngono mwili unarespond hivyohivyo.
 

The answer is simple! Unapenda sana kufanya ngono kwa sababu unapenda kuendekeza uzinzi na uasherati.
 
Hebu jiulize zaidi ya hiyo ngono kinaishaisha umefanikisha nini?
Uliwezaje kusoma na kufanya ngono kila siku? Hao mademu uliwapataje?
Bure au unawalipa nini?
Kama una kazi unaifanyaje wakati umekesha?
Kazi yako ni ipi?
Una nyumba.gari.biashara.akiba kiasi gani?
Au unaishi kwa msosi wa shikamoo?
Ukikosa mwanamke wakukupa hutabaka wewe ?
Unaishi wapi kunakoweza kukupa wanawake kila siku wa kukesha nao?
Unadhanindugu na majirani wanaoona wanawake wakiingia na kutoka kila siku wanakuweka fungu gani?
Unatumia condom? Ngapi kwa usiku 1 ?
Nina maswali mengi ila kwa sasa jibu hayo.
 



Ni nyege za nzi hizo, dawa yake ni punyeto tu kwa wiiiingi.
 
ukionahivyo ujue ndo umebalehe na nadhani PUNYETO haichezi mbali na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…