Kwanini napenda sana kufanya mapenzi?

Mara 5 kila wiki???? ni kwa girlfriend huyo huyo au pale Ambiance?????? fanya utaratibu ukapime then oa kama bado
 
yule mwanamke wako mwenye mdomo mmesharekebishana ama bado mnatifuana
 
Sikushangai. Hali ya hewa leo ni kama mbolea. Ina increase rate of reaction. Hali ya hewa hamasishi... Call it sex catalyst. Vipi watoto watatu hawakutoshi mkuu
 
barafu eeeeh,njoo huku uje utoe ushauri wako kwani huyu jamaa ana stimu kama za yule mdudu wako nyegele
 
Unapiga goli ngapi kwa mechi moja ili upate majibu sahihi isijekuwa hufanyi mapenzi ila unafanya mchezo wa mapenzi.
 
bado huna tatizo
kuna mmoja niliwai kusikia yeye ilikuwa mara 30 kwa siku
 
TATIZO LA MTU AMBAE HAJAKOMAA KIAKILI NA NDO MAANA NAKUULIZA VIPI SHULE YENU YA MSINGI IKO WAZI ? AU IMEFUNGWA?NYAMBAAAAAFU HOROROJA WEE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…