Kwanini nasema na najiamini Argentina anaenda kuwa Bingwa wa 2022 QATAR FIFA WORLD CUP tarehe 18/12/2022?

Kwanini nasema na najiamini Argentina anaenda kuwa Bingwa wa 2022 QATAR FIFA WORLD CUP tarehe 18/12/2022?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
1. Wanacheza Kimkakati zaidi kama Simba SC

2. Wana Wachezaji Wapambanaji kama wa Yanga SC

3. Wana Golikipa Bora sana

4. Messi anawarahisishia Kazi Wengine

5. Wana Morali ya Kiuzalendo hasa

6. Argentina ni Timu ya Mungu

7. Lionel Messi hakabiki na Kabarikiwa

Nami MINOCYCLINE namalizia kwa kusema kuwa Sisi Team Messi na Team Argentina hakuna Mechi nyepesi Kwetu na ambayo tena tutashindwana Comfortably na Dunia haitoamini kama hii ya Fainali dhidi ya Wasiojua Ufaransa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] popoma bhana
 
Umezingua hapo ulipoingiza simba na yanga ukanifanya nisisome mpaka mwisho thread yako.

Jaribu kuwa serious next time.
 
Inahitaji bahati tu kwa Argentina kuwa bingwa maana hata 2018 walikuwa na kikosi bora kuliko cha mwaka huu lakini walikufa 4 mbele ya Argentina.
 
Ninatamani Messi abebe ndoo lakini nahofia sana haya matumaini na kuji-brag kwa watu kuwa Argentina ni wazuri zaidi ya France kunaweza kuitokea puani Argentina...
 
Inahitaji bahati tu kwa Argentina kuwa bingwa maana hata 2018 walikuwa na kikosi bora kuliko cha mwaka huu lakini walikufa 4 mbele ya Argentina.
Ufaransa...

Mambo mengi yamebadilika toka 2018, Ufaransa inawakosa nyota muhimu kwake waliosaidia ule ushindi wa 4-3 yaani Pogba na Kante....

Ila lolote laweza tokea mwishowe maana mpira una matokeo katili mno.
 
Kante alikuwa mtu yule mwamba, france hii ilokoswa koswa na morocco vile ndo ije iachwe na Argentina hii? Thubutuuu.
 
Back
Top Bottom