MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] popoma bhana1. Wanacheza Kimkakati zaidi kama Simba SC
2. Wana Wachezaji Wapambanaji kama wa Yanga SC
3. Wana Golikipa Bora sana
4. Messi anawarahisishia Kazi Wengine
5. Wana Morali ya Kiuzalendo hasa
6. Argentina ni Timu ya Mungu
7. Lionel Messi hakabiki na Kabarikiwa
Nami MINOCYCLINE namalizia kwa kusema kuwa Sisi Team Messi na Team Argentina hakuna Mechi nyepesi Kwetu na ambayo tena tutashindwana Comfortably na Dunia haitoamini kama hii ya Fainali dhidi ya Wasiojua Ufaransa.
Ufaransa...Inahitaji bahati tu kwa Argentina kuwa bingwa maana hata 2018 walikuwa na kikosi bora kuliko cha mwaka huu lakini walikufa 4 mbele ya Argentina.
Kante alikuwa mtu yule mwamba, france hii ilokoswa koswa na morocco vile ndo ije iachwe na Argentina hii? Thubutuuu.Ufaransa...
Mambo mengi yamebadilika toka 2018, Ufaransa inawakosa nyota muhimu kwake waliosaidia ule ushindi wa 4-3 yaani Pogba na Kante....
Ila lolote laweza tokea mwishowe maana mpira una matokeo katili mno.