Kwanini nashindwa kitumia condom?

Kwanini nashindwa kitumia condom?

Joined
Jul 14, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Habari za humu wana JF

Nina tatizo moja ambalo linanitatiza sana, nimekuwa napenda kwenda kavu sasa nikijaribu kuacha na nikianza tu kuvaaa condom on the sport na loose my ETRCTION.

Msaada please
 
Back
Top Bottom