sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Phobia ni hali ya kuogopa kitu kigeni kitakuwa na mafanikio kuliko chako, phobia katika dini ni dhana ya uoga wamba dini flani itafanikiwa kuzidi yako, hivyo hatua inabidi zichukuliwe ili kuzuia hata kama ni nje ya maandiko matakatifu.
naonaga watu wanasema kuna islamaphobia lakini kiukweli waislamu wapo huru kufanya mambo mengi sana katika nchi za kikristo, Hali huwa ni tofauti kabisa katika nchi za kiislam ambako ndiko kuna phobia kubwa sana ya ukristo, yani kujenga makanisa kuna sheria kali mno,,,,, mfano kwa hapa kwetu ni hapo juzi tu Zanzibar kuna kanisa lilibomolewa.
unakuta makanisa ni machache sana yani ya kuhesabuka na hio ni kuzugia tu kwa unafki kwamba wanaheshimu ukristo.
Binafsi nayaheshimu maandiko ya Quran lakini shida inakuja pale viongozi wa dini wanapozungusha maandiko ili kuminya uhuru wa dini zingine.