Tequila sir
Member
- Mar 21, 2023
- 43
- 43
Moja kwa Moja kwenye hoja yangu, Ujerumani ni Moja ya nchi iliyowahi kuwa na makoloni mengi sehemu mbalimbali duniani kama zilivo nchi nyingine mfano Uingereza, Ufaransa ni kwanini nchi zilizotawaliwa na ujerumani hazizungumzi lugha ya kijerumani kama ilivo nchi zilizotawaliwa na muingereza ama Mfaransa?