Tequila sir
Member
- Mar 21, 2023
- 43
- 43
Yaah walitawala through indirect rule..Nahisi Ujerumani aliruhusu local languages zitumike kwenye mfumo wa elimu pamoja na taasisi zingine mbalimbali.
Acha basi mkuu.......Yaah walitawala through indirect rule..
Mjeruman alitawala Namibia ya Leo, Tanganyika,Rwanda ,Burundi,Togo na baadhi ya maeneo Kameroon Hadi wakati wa vita kuu ya kwanza ya Dunia (1914-1918)Baada ya kushindwa vita hiyo alinyang'anywa makoloni yote.Yakawekwa chini ya udhamini wa Jumuiya ya mataifa lakini walioshinda vita wakagawana na kuyatawala.Hivyo mambo yote ya kijerumani yalifutwa ikiwa ni pamoja na lugha ya Kijerumani.Yalibaki majina kama Gunze kwa wakerewe,Plantan kwa pwani na Schmidt.Misamiati kama Hela,shule nk.Labda na Bismarck.The rest is history.Moja kwa Moja kwenye hoja yangu, Ujerumani ni Moja ya nchi iliyowahi kuwa na makoloni mengi sehemu mbalimbali duniani kama zilivo nchi nyingine mfano Uingereza, Ufaransa ni kwanini nchi zilizotawaliwa na ujerumani hazizungumzi lugha ya kijerumani kama ilivo nchi zilizotawaliwa na muingereza ama Mfaransa?