Kwanini neno "Kilaza" linawekewa ****** humu JF

Halafu kuna ndugu zetu wale wa Kilimanjaro ambao hili jina wengine unakuta ni la ukoo kabisa kama la yule ambaye chimbuko la hili jina lilipatikana tutakuwa tunawaita na Mr. ****** kweli.

Hebu fafanua hapo maana mie ni miongoni mwa wazaliwa wa mkoa wa Kilimanjaro sijakupata hapo
 
Kwahiyo ni kilaza tu ndo ukiandika inatokea nyota. Hahaha auto correct ya jf ipo ktk kilaZa tu.
 
Natest matusi na kejeli hapa. Nione kama zitabadilika
 
Ngoja nitesti zari Ukilaza Vilaza Jikilaza
 
Ilo neno alitumia mkulu kwa wanafunzi wa UDOM. Copy right yake ni single user. None allowed to use it again in jf
 
mbna facebook,instagram,whatsapp hamna mambo hayo mtu akizingua mpe live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…