Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

suri

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
404
Reaction score
260
Habari wana JF

Mneno mengi yenye mwitikio has yanaanza na 'si', mfano sitaki, sipendi, sijui nk. Lakini neno sijambo ni positive acknowledgement, kwanini tusiitikie 'nijambo'?

Hebu tupeane maneno mengine yenye mwitikio chanya kama sijambo lakini yenyew yanaonekana kukanusha
 
Kiswahili ni lugha iliyookoteza maneno kutoka lugha zingine so haijakamilika.
 
Back
Top Bottom