Kwanini Nguruwe hapikwi supu mtaani kama wanyama wengine?

Kwanini Nguruwe hapikwi supu mtaani kama wanyama wengine?

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Nimekaa na kujiuliza kwa nini huyu mnyama pendwa Nguruwe a.k.a mbuzi katoliki a.k.a kitimoto hapikwi supu mtaani kama ilivyo kwa ng'ombe ,mbuzi na wanyama wengine?
 
Supu yake mbona ipo nenda nyanda za juu kusini utakutana nayo.
images%20(69)_1_nocrop.JPEG
 
DAAH MKUU HUYU SI NI MAAMUMA HUYU?TENA YUKO KWENYE SUNAGOGI LAO??
 
Nimekaa na kujiuliza kwa nini huyu mnyama pendwa Nguruwe a.k.a mbuzi katoliki a.k.a kitimoto hapikwi supu mtaani kama ilivyo kwa ng'ombe ,mbuzi na wanyama wengine?
Mafuta yote hayo unatafuta nini mzee ndio mana ina rostiwa ili angalau mafuta ya kauke na kupungua na ukichoma maduta yanayeyuka yote na inaweza isiive
 
Nimekaa na kujiuliza kwa nini huyu mnyama pendwa Nguruwe a.k.a mbuzi katoliki a.k.a kitimoto hapikwi supu mtaani kama ilivyo kwa ng'ombe ,mbuzi na wanyama wengine?
Mbona ipo kibao tu kitaa, tena nakushauri tafuta upige supu ya pua ile ya kitimoto aisee hautojutia mkuu!!
 
Wachaga wanachanganya damu ya kitimoto kwenye supu yake..wanakuambia ina nguvu ile ile laanaa ,japo niliiga kuchanganya konyagi na mbege" ila hiyo damu+supu nilishindwa.
 
Mh hv akipikwa supu ananoga kweli tofauti na kukaangwa?
 
Jaribu kutembea sehemu mbalimbali, kuna sehemu Morogoro panaitwa Mgeta Kibaoni wanatengeneza supu ya Pork. Kwenye junction ya kwenda Bunduki na Lolo mpaka Nyandira ukisimama ukaagiza supu utalishwa pork.
 
Mkuu Kuna sehemu moja mkolani mwanza wanauza supu ya puaa na sikio la kitu moto...naskia ukilaa ile nyama Ni nomaa
 
Back
Top Bottom