Kwanini ni rahisi kujua mke akichepuka?

Hongera wazazi wako wamepata mtoto sio kokoto.maana kuna wengine humu ni kokoto wazee wanajua ni mtoto.
 
Bado hujawajua wanawake vizuri ... nenda karudie kufanya utafiti wako upya.

In short, wanawake wanaweza kuwa ni very good cheaters kuliko hata sisi wanaume na zaidi wakiamua kuwa hivyo.
 
Kuna wale tuliambiwa kabxa kwamba" KB nmecheat na sina amani moyon bora tuachane,u decerve better"nikaona frsh acha ni move on,baada ya muda kidogo kaanza tena kujirud,nlimwambia tu mimi sipimwi,nishavuta ngoma nyinge tayar,bac amebaki akijiliza liza ila ndo ivo nishajiondosha japo iliniuma haswaa
 
Thread closed!
 
Wala msisumbukee, Mwanamke akiwa na mtu lazima utofauti uonekaneee, yaani kuna mahali atamess tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…