Kwanini ni shida kupata ndege ya kutoka Mbeya - Dar hasa Ijumaa hadi Jumapili?

Kwanini ni shida kupata ndege ya kutoka Mbeya - Dar hasa Ijumaa hadi Jumapili?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Jamani tangu Ijumaa kupata ticketi ya Mbeya to Dar es Salaam ni shida sana.

Sijui kwanini au watu wanasafiri sana hizo siku?

Si Ndege za Presicion wala ATCL

Je, Kuna nini?
 
Wafanyakazi wengi huondoka ijumaa toka Dar kwenda mbeya kwa shughuli za kifamili kama kuona wagonjwa,harusi,mazishi nk na kugeuza jumapili kuwahi kibaruani
 
Back
Top Bottom