K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,810 Reaction score 6,599 May 30, 2021 #1 Jamani tangu Ijumaa kupata ticketi ya Mbeya to Dar es Salaam ni shida sana. Sijui kwanini au watu wanasafiri sana hizo siku? Si Ndege za Presicion wala ATCL Je, Kuna nini?
Jamani tangu Ijumaa kupata ticketi ya Mbeya to Dar es Salaam ni shida sana. Sijui kwanini au watu wanasafiri sana hizo siku? Si Ndege za Presicion wala ATCL Je, Kuna nini?
YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,902 Reaction score 52,001 May 30, 2021 #2 Wafanyakazi wengi huondoka ijumaa toka Dar kwenda mbeya kwa shughuli za kifamili kama kuona wagonjwa,harusi,mazishi nk na kugeuza jumapili kuwahi kibaruani
Wafanyakazi wengi huondoka ijumaa toka Dar kwenda mbeya kwa shughuli za kifamili kama kuona wagonjwa,harusi,mazishi nk na kugeuza jumapili kuwahi kibaruani
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 May 30, 2021 #3 Hata huku chato ni hivyo
Nzuguni one JF-Expert Member Joined Dec 23, 2019 Posts 1,157 Reaction score 481 May 30, 2021 #4 Duuuh
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 30, 2021 #5 Pole sana...