Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
arifu iweke vizuri tukuelewe.......
Ina maana way of life ya watanzania ndio hasa inayo determine elimu yetu?
Unalazimisha kusikika kwa courtesy of bright colours?
inategemea umesoma course ipi ?
Elimu ya bongo matatzo tu,nakumbuka kipindi niko first year udsm,kuna ticha alikuja akatuambia eti mwaka huo tulikua wengi mno so lazima ashike watu idadi ya shato 10,na kweli alifanya hivo.
Elimu ya bongo matatzo tu,nakumbuka kipindi niko first year udsm,kuna ticha alikuja akatuambia eti mwaka huo tulikua wengi mno so lazima ashike watu idadi ya shato 10,na kweli alifanya hivo.
Sasa naona hizo ni dharau zilizopitwa na wakati za kuitana NGWINI, mimi kudesa ninadesa tena sanaa tu, najua kilichonileta chuo ni nini. Masomo niliyopata ni AY100 na AY105 (ukatafute majina yake but najua utakuwa unayajua), Mimi nasoma B.A.Archaeology na ninaipenda sana ndio maana sikubali kuishindwa, kuna cource na cource ni kweli mfano watu wa injiania japokuwa kuna ambao wanaoipata. Vichwa havifanani.:yell:
Sio bongo tu, hata nje utaratibu ni huo.Mfumo wa University/College kwa hapa bongo ni mbovu sana!! mwalimu wako wa darasani ndiye atakayesahisha mtihani wako wa semester na kukukabidhi GPA...this is very big prob by the way
Sio bongo tu, hata nje utaratibu ni huo.
Omba kazi ya ufundishaji, halafu kifike kipindi cha usahihishaji, hapo ndipo utakapojua kuwa ni kwanini A hazipatikani kwa wingi. I bet wewe unaweza usitoe hata B+ kwa aina ya wanafunzi waliopo vyuoni leo.
sijui kwakweli, labda nwdays hatuna akili,
lakini kule bcom kule kuna walimu wanajua kukomoa sijaona?? anatunga mtihani mgumu majibu yake mwenyewe hana hadi aende kudownload kitabu tena unalipia uko uko online!
ss maisha gan hayo, wengi wao pia wanakomoa watu wawaogope kwa idadi ya sup!
Not kuomba kazi hiyo itachukua muda sana...........atapatiwa tu booklet asome then yeye ataona picha halisi
Hivi huyu kaongelea tofauti ya upatikanaji wa materials huku na huko alikosomea yeye?
Mbona wengi tu waliosoma huko ulaya wanakuja na A zao hapa lakini material wise ni vuguvugu sana ?
Kwa tuliosoma UD some mtakumbuka kuwa na wanafunzi wa kutoka huko ulaya na america (xchange program) na wengi ni normal temperetures sana tu?
Cha muhimu kwa sasa ni kusimamia hizo A zao na ku proove wewe ni A material sio kuja nazo huku na hatuoni hilo joto la A...... as leo Prof Mchome kasema TCU wanaanza kutafuta jinsi ya ulinganifu wa madaraja ya ughaibuni na huku. B plain ya huku yaweza kuwa ndo A ya huko
Somo gani na mwaka gani if you won't mind?
hii itakua cl 106 ya alwatani kadeghe.
Kwenye black...Yaani wewe pia unapata A? Kweli Siku hizi Vyuo Vikuu hamnazo.
Look here ma fellow JF viewers.Tatizo kubwa kabisa ni kwamba kwa mfumo wa elimu ya chuo kikuu mwanafunzi anapaswa kuna SEMINAR PRESENTATION,TEST ANGALAU MBILI au ZAIDI ambazo dent anatakiwa accumulate 40% kama Course work halafu UE ataingia kutafuta alama zilizobakia.
Hoja yangu sasa kuna baadhi ya vyuo hakuna seminar wanachokifanya wanazibadilisha seminar into either individual assignment or Group assigment eti kwa sababu walimu ni wachache hawawezi kuzisimamia hizo semina.Nijuavyo mimi seminar ndiyo sehemu mwnfunzi atapata deep understanding ya kile kilichofundishwa kwenye lecture na kuondoa some doubts.
Kwa hiyo kwa utaratibu kama huo ni vigumu sana kuchomoka kwani mwanafunzi huassesiwa kwa upungufu, tofauti na atakaye tathiminiwa ktk vipengele vyote.