unaweza oa mtu wa group lolote. kila group lina rhesus factor(Rh) positive+ au negative- hicho ndio wanachoangalia.
Mf: mama akiwa rh- na baba rh+, mtoto atakuwa rh+. Hivyo antibodies za mama zitashambulia rb cells za mtoto na kusababisha matatizo hata kifo iwapo tu damu zao zitagusana.
mkuu danny job tafadhali njoo maana nimeanza kuogopa njoo ujibu
Kwahiyo ni vyema kuoana wote mkiwa na rh zinazofanana?Kama ni positive wote muwe positive na kama negative wote muwe negative ili kuepuka matatizo hayo hasa kifo cha mtoto?
mkuu danny job tafadhali njoo maana nimeanza kuogopa njoo ujibu