Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Mimba ya miaka sita Mkuu? naona hujasoma vizuri umekimbilia tu kujibu mimba.Mimba hiyo unauliza majibu
HaijalishiUnamimba wewe ila hujui ya nani tu.
Ni kukome kivipi wakati umeyataka mwenyewe?Unikome we dada..😅
Acha masihara niko serious.Inaonyesha mimba yako inakua pole pole sana
Silagi kokwakwa sababu unakula na kokwa
Basi yaishe..😅Ni kukome kivipi wakati umeyataka mwenyewe?
Nilishaamua kusitisha kula Maembe japo nayapenda lakini hamna jinsi.Acha kula maembe,kwani lazima.
Jinsia yangu me ni Ke