Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 633
- 417
Usikose Kila Kitu, Japo Wengine Tuambulie Lolote Yaliyomo Yamo, Tumeitwa Sasa Kitu Kizuri Kula Na Ndugu Yako.Ha ha ha kweli aisee,. Naona PM yake itajaa maombi
Pole, kama unahisi una sifa lakini unabaniwa kwa uonevu sema nikuunganishe na Human resources Director wa MeTL au local recruitment manager wa hio kampuni huenda watakusaidia. Vinginevyo fika ofisini kwao pale Morogoro rd. Uwaulize kulikoni?
Mpe mtaji ili ajifunze kuwekeza kama wewe ulivyowekeza.Huo muda unaozungukia majibu ya maombi ya kazi, Ungejiajiri mwenyewe baada tu ya miezi michache ungegundua kwamba kujiwekeza mwenyewe ndio siri ya mafanikio yako.
Experience yako ni miaka mingapi na kwenye mashine zipi?Niunganishe na Hr wao, Mimi ni Mechanical engineering Technician
Mpe mtaji ili ajifunze kuwekeza kama wewe ulivyowekeza.
Kiukweli hata mimi nimeomba kazi mara nyingi sana kwa MO nikawa siitwi kabisa. Tena nikawa naomba za aina zote yaani za rank ya chini na rank ya juu lakini holaa.Habari zetu,
Mimi nimekuwa nikiomba kazi zinazotangazwa na Mohammed Enterprises Tanzania Limited - MeTL ila nimekuwa sipati majibu ya kuitwa, ila nikituma sehemu nyingine naitwa.
Unahisi nakosea wapi ??
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe
inawezekana jamaa ni shabiki wa vyura FC1. Huenda applications huziandiki vizuri.
2. Sifa huna kwa kazi husika.
3. Una elimu kubwa sana...
Kiukweli hata mimi nimeomba kazi mara nyingi sana kwa MO nikawa siitwi kabisa. Tena nikawa naomba za aina zote yaani za rank ya chini na rank ya juu lakini holaa.
Sasa badae kufuatilia nikasikia kwamba pale ni sehemu kuna figisu sana na watu wanapeana kazi kindugu,yaani yale matangazo ni kuwazuga watu tu...
Bro..kwanza we hapa Tz unashabikia klabu gani....? Tuanzie hapo hahahah...ni jokes..!
hahaha1. Huenda applications huziandiki vizuri.
2. Sifa huna kwa kazi husika.
3. Una elimu kubwa sana.
4.Hufuati taratibu za kuomba kazi husika mfano unaficha taarifa zako.
5. Huna uzoefu wa kazi.
6. Kimombo hukijui au una mapungufu eneo hilo.
7. Mshahara unaotaka ni mkubwa.
8. Umbali wa unakoishi na kazi ilipo.
9.Huenda kazi inayotangazwa imesitishwa au inasubiri.
10. Kampuni haina tena uwezo wa kuajiri zaidi nk nk nk