Kwanini niko hivi jamani?

Packson

Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
8
Reaction score
2
Jamani nina tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na ni la muda mrefu kidogo kama miaka 4,nimetumia dawa kadhaa lakin bila mafanikio

Uume wangu misuli yake imelegea,ukisimama unakuwa hauna nguvu na unawahi kusinyaa,nawahi kumaliza bao la kwanza na kuendelea siwezi mpaka nishikweshikwe uume na nikichelewa kuingiza unalala,ukiingiza tena kama ni raundi ya pili baada ya dakika ya 3 hivi unasinyaa humohumo kabla hata ya kumaliza,nateseka sana kimawazo maana nadharaulika.

NAOMBENI MSAADA WENU WANAJAMII
:A S cry:
 
Mkuu je una ugonjwa wa moyo? Stress ? Unafanya mazoezi?

Inawezekana pia akilini mwako ushaweka kwamba huwezi basi wakati wa lile tendo unakua una waza sana kwenye kushindwa na pale ndio unaharibu kabisa. Unashindwa ku-focus kwenye tendo la ndoa.

Muhimu mkuu kama umezoena na mpenzi wako anaweza kukusaidia kwa kukupa moyo.(kama hakuna magonjwa mengine yanayo sababisha hili tatizo)
 
Dr. MziziMkavu na Dr. Riwa...where art thou?
Mkuu Mentor Nilishamjibu huyu Mkuu.@Packson matatizo yake tuliwasiliana kwa njia ya Email na alinieleza yote matatizo yake sasa hapa

ameyaleta kwa watu wengine ili apate msaada ngojea watu wengine wamsaidie alikuwa anatumia njia ya

mkono Punyeto ndio iliyo mletea matatizo ya nguvu zake za kiume. Kwa Mtu yoyote anaye tumia njia

za kupiga Punyeto basi ajue mwisho wake atapungukiwa Nguvu za Kiume akitaka au asitake, na Wanawake watamkimbia tu kwa

sababu hatoweza kumrithisha mpenzi wake kimapenzi atakuwa mtu wa kupiga goli moja kisha Uume

unasinyaa kabisa.

Sababu 10 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiumeZipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.
10. Uzee wa umri kuwa mkubwa.

Na Pia ujiepushe na moja kati ya hizi Sababu 10 zinazochangia upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa za Nguvu ya kiume kwa anayetaka bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor...naye-taka.html

Mwenye Matatizo ya Upungufu waNguvu za kiume awasiliane na mimi kwanjia ya Email address yangu nii hiih hapa Fewgoodman@hotmail.com
 
Tafuta kitabu cha Dr Paul Nelson kinaitwa UFUNDI KATIKA KUPENDA kina bonge la msaada. Pole zako Mkuu
 
Mkuu, kile kitabu kinaelekeza kutatua tatizo bila kutumia dawa. Mimi binafsi sikushauri utumie dawa, zinakuza zaidi tatizo.
 
Mkuu, kile kitabu kinaelekeza kutatua tatizo bila kutumia dawa. Mimi binafsi sikushauri utumie dawa, zinakuza zaidi tatizo.
Mkuu.@Mjuni Lwambo Wewe unamuambia Mkuu.@Packson atafute kitabu ili

kimuongoze namna ya kutatua tatizo lake wakati yeye sasa anaumwa?Mtafutie Dawa si kumwambia atafute

kitabu kitamsaidia kitu gani ?Ni sawasawa na mtu yupo Mgonjwa mahututi Eti unamuambia asome kitabu jinsi

ya kupona Ugonjwa wake ?Vipi mkuu wewe mpe dawa au toa mawazo usilete mambo ya kitabu hakito msaidia

kitu huyu
Packson ni mgonjwa anachotakiwa apewe dawa ili apone.
 
Ok pole heri yako wewe unauwezo wa kupiga hata hilo moja wengine hata moja hawawezi
 
Sidhani kama anatatizo kubwa xana,kwani kama ana uwezo wa kupiga bao na uume ukashikwashikwa na ukasimama tena huyo nguvu zipo kinachomsumbua ni msongo wa mawazo tu. Ajitahidi tu kula vyakula vizuri na vya asili nguvu zitajijenga tuu taratibu na hatimaye atarudi kwenye normal, pia akumbumbuke kufanya mazoezi ya kutosha hasa ya kukimbia kwa ajili ya kuongeza pumzi , kujenga misuli na kuimarisha mzunguko wa damu. Kuhusu kuwahi kuwahi kumaliza hilo ni tatizo la wanaume wengi, cha msingi ni kujadili na mwenzi wako kuona namna gani unaweza kumridhisha hasa kwa ku2mia muda mwingi kumuandaa kabla ya kumuingilia na pia ni aina gani ya mkao mnaoutumia kwani kuna mikao mingine humwezesha mwanamke kufika kileleni upesi na mingine huchelewa . Ukweli ni kwamba kwa wanaume wengi suala la kuchelewa kufika kileleni ni timing tu we lifanyie tu mazoezi utaifurahia ndoa yako na wala hutasononeka tena. Pole sana.
 
Watu wengi wana tatizo na wanakuwa hawapati njia sahihi ya kupambana na tatizo. Hii hapa ndiyo njia sahii. Fuatilia maelezo haya kwa umakini. Yote haya ni muhimu kuondoa kabisa tatizo.

MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;


  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum

Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;


  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid

Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ****** na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.


  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).

Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM


  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo


WASIOPASWA KUTUMIA


  • Wajawazito
  • Wanaonyonyesha
  • Wagonjwa waliodhoofika sana mfano ukimwi, saratani, kifua kikuu, malaria, kisukari n.k
  • Watoto chini ya miaka 14




REVIVE

Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

KAZI YA REVIVE


  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa


CA + FE + ZI PLUS


  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA


  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA


  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI


  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.


Yeyote mwenye swali/anayetaka ushauri anaweza kunipigia kwa namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama za CA+FE+ZI Plus ni 51000/- Magilim ni 62500/- na REVIVE ni 60500/-
 
pole sana packson,nimekuonea huruma unavyosema unadharaulika.kingkong,amesema si bora yako unapiga hata bao moja.kumbe wengine hata hilo moja hawawezi
 
Jamani asanteni kwa msaada wenu wa kimawazo,tuendelee kusaidiana ikipatikana dawa pia nielekezen namna ya kuipata
 
Nenda kwenye maombezi. Mungu ni wa rehema na neema, hahesabu uovu. Kama hujaweza kuacha kupiga puli nenda utaombewa na utafanikiwa tu. Pole na kila la kheri.
 
Pole sana ninatoa huduma bure kwa wanawake wanaopata stress za kukutana na nwanaume mwenye matatizo yako so kama vipi muunganishe mpenzi wako aje apate huduma bure.... just kidding..lets get back to seriousness...
Iko hivi tatizo nilionalo hapa ni la kisaikolojia zaidi uume ukishapiga bao moja lazima usinyae na urefu wa uume i meam usimamaji wake kabla ya baonla kwanza na la pili ni tofauti
Futa wazo kuwa wewe ni hanisi jiaminishe kuwa wewe ni rijali mawazo yako yote yawe katika kumridhisha mwanamke epuka kuwaza ku conetrate kuona kama uume umesinyaa au lankwani ukiona umesinyaa kidogo u apata stress matokeo yake unasinyaa kabisa
Fanya mazoezi kwa wingi ili usiwe na mafuta mwilini kwani uume unasimamishwa na damu so kama kuna mzunguko mbovu wa damu mwilini basi jua kabisa ujoka l kibisa linanukia.. nitarudi kuna kahawa inaningoja
 
chakula bora, mapumziko, mazoezi, kumuamini mpenzi wako, mazingira ya tendo nk

some people have tried kwenda kwa "sex Specialists" lakini results sio kubwa sana kwani most of it is in your mind

BTW, naskia vijana wengi sana kwa sasa wana shida ya nguvu za kiume despite mazoezi ya nguvu na kula vizuri, could there be something else causing it?
 

Mfumo wetu wa lishe ni tatizo binafsi sina imani kabisa na vyakula vya kupandikiza (GMOs) kwani vinakuwa vimeondolewa kwenye ule ubora wake wa asili. Lakini pia kuna tatizo la stress za maisha zinazopelekea msongo mkubwa wa mawazo hasa kwa kundi la vijana, masuala kama ya ugumu wa maisha , ukosefu wa ajira n.k yote yana mchango katika tatizo hilo kwani tendo lenyewe linatawaliwa na ubongo zaidi. Pia kuna suala la modernization ambalo linaungana na tatizo la kisaikolojia, kwa mfano zamani ilikuwa nadra sana kumpata mwanamke wa kusex nae kirahisi, pia ilikuwa ni vigumu sana kuyaona maungo ya siri ya mwanamke jambo lililofanya maungo hayo kuwa ya thamani sana na pindi mwanaume akiyaona hushikwa na ashiki ya ajabu. Lakini siku hizi mambo ni tofauti sehemu nyeti za wanawake zimekuwa zikiachwa wazi na kuzifanya zipoteze mvuto wake kwa wanaume na kuwapunguzia ashiki kwani zimeonekana kuwa ni za kawaida. Pia suala la kufanya mazoezi ,vijana wengi siku hz hasa wa mijini ha2jishughulishi na mazoezi jambo linalopelekea vijana wadogo kuwa na vitambi vinavyosababishwa na mlundikano wa mafuta mwilini. Hali hufanya mzunguko wa damu ambao huamsha misuli ya uume kuwa dhaifu na kufanya uume ushindwe kusimama vizuri na kukosa pumzi wakati wa kusex.
 
msingi ni kwamba wengi tunafanya hili tendo kimwili zaidi na si kiakili.......
 
kuna matatizo mengine ambayo hata madakitari wetu hawawezi kukupa jibu la moja kwa moja.Hebu jiulize kama umewahi kupata ajali au kuanguka. kama ndio je una matatizo ya pingili au mgongo?. Nashauri kawaone madakitari tena wakuangalie katika angle hiyo. Isije kuwa kuna nerve zimebanwa. Kwa hali ya sasa wakati mwingine mgonjwa anamuongoza dakitari. Muombe upime afya ya prostrate kwa kupima damu, ultra sound na manii.
 
kama ni mtihani hapa nimeshapasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…