Kwanini ninakuwa muoga kuingia kwenye ujasiriamali?

Kwanini ninakuwa muoga kuingia kwenye ujasiriamali?

ILDIFONCE

Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
19
Reaction score
0
Wana JF naomba msaada wenu,

Nimekuwa muoga sana katika kuchukua maamuzi ya kufanya biashara
Hali hii inaweza kutatuliwa na nini.?

Nawasilisha hoja
 
UOGA WAKO NDIO UMASKINI WAKO. Chukua maamuzi magumu ila kwanza omba ushauri wa kitu ufanyacho ili upate changamoto kabla hujawekeza.
 
Sio lazima kila mtu awe mjasiriamali...
Ile ni tabia ambayo mtu anazaliwa nayo na anaiendeleza...
Ujasiriamali ni risk taking, kama huwezi hili basi usijaribu kwasababu utaishi kwa presha...
 
Kama ni mnywaji lazima uogope kwani mauzo ya siku yote yatahamia kwa jirani
 
Back
Top Bottom