ILDIFONCE Member Joined Mar 17, 2012 Posts 19 Reaction score 0 Jun 16, 2015 #1 Wana JF naomba msaada wenu, Nimekuwa muoga sana katika kuchukua maamuzi ya kufanya biashara Hali hii inaweza kutatuliwa na nini.? Nawasilisha hoja
Wana JF naomba msaada wenu, Nimekuwa muoga sana katika kuchukua maamuzi ya kufanya biashara Hali hii inaweza kutatuliwa na nini.? Nawasilisha hoja
Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 1,994 Reaction score 1,540 Jun 16, 2015 #2 UOGA WAKO NDIO UMASKINI WAKO. Chukua maamuzi magumu ila kwanza omba ushauri wa kitu ufanyacho ili upate changamoto kabla hujawekeza.
UOGA WAKO NDIO UMASKINI WAKO. Chukua maamuzi magumu ila kwanza omba ushauri wa kitu ufanyacho ili upate changamoto kabla hujawekeza.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Jun 18, 2015 #3 Sio lazima kila mtu awe mjasiriamali... Ile ni tabia ambayo mtu anazaliwa nayo na anaiendeleza... Ujasiriamali ni risk taking, kama huwezi hili basi usijaribu kwasababu utaishi kwa presha...
Sio lazima kila mtu awe mjasiriamali... Ile ni tabia ambayo mtu anazaliwa nayo na anaiendeleza... Ujasiriamali ni risk taking, kama huwezi hili basi usijaribu kwasababu utaishi kwa presha...
Mathematician JF-Expert Member Joined Nov 8, 2009 Posts 327 Reaction score 109 Jun 18, 2015 #4 kwa sababu hujaanzisha biashara. Anzisha sasa.
bab-D JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 1,215 Reaction score 322 Jun 18, 2015 #5 Kama ni mnywaji lazima uogope kwani mauzo ya siku yote yatahamia kwa jirani