Kwanini nivumilie?

Kwanini nivumilie?

sweetdada

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
517
Reaction score
169
WanaMMU,

Mi bado kuelewa kitu.

kwanini wanawake tu wavumilie matatizo ya wanaume ili hali mwanaume hawezi kuvumilia?

kwani sie wanawake ni mitambo ya kurekebisha tabia, kwamba nikivumilia atabadilika?Hainipi kabisa hili..:angry:

Nawasilisha.Tujadiliane
 
Mvumilivu hula mbivu kwa nn usivumilie mama?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Wanaume hawawezi kuvumilia kwasababu wanawake wanafanya kwa siri na kwa uangalifu mkubwa sana......................

Hawagunduliki kirahisi kuliko wanaume wanajisahau wengine wakilewa wanaacha sms, simu nk so mwanamke anafanya na akili zote tena kwa uangalifu kwa hiyo HAWAGUNDULIKI ............................. na kuonekana watakatifu...............(Maswali mengi hapana taka)
 
Nasikia muumba aliwapa roho ya uvumilivu wewe unataka kuitoa?
 
ikiwezekana..maana huu tena si uvumilivun i uonevu na wanaume huwa wanatake advantage hiyo..kuwa nitamwomba msamaha atavumilia...:disapointed:
 
kweli dena, wanawake kwa kusiri ni noumer...yaani unaweza ukatendwa miaka10 au hata maisha yote ya ndoa bila kugundua, siku ukijua hamna msamaha
 
ndio maana wanawake wameumbwa tofauti na wanaume sehemu yao ya kifua
 
Wanaume hawawezi kuvumilia kwasababu wanawake wanafanya kwa siri na kwa uangalifu mkubwa sana......................

Hawagunduliki kirahisi kuliko wanaume wanajisahau wengine wakilewa wanaacha sms, simu nk so mwanamke anafanya na akili zote tena kwa uangalifu kwa hiyo HAWAGUNDULIKI ............................. na kuonekana watakatifu...............(Maswali mengi hapana taka)
I salute this....! Duh, kumbe kuna mambo....!
 
Nyie wanawake mnaongoza kwa kucheat na ni wasiri mno,mwanamke mmoja ana mabwana wanne..punguza kulalamika.
 
Hahahaha i see mnapangwa kwa foleni hapa juu kuna dada amewabambika wanaume 5 mtoto kila mmoja analeta matumizi kwa mda wake lol
 
Kama mwanamke hajalazimishwa kuvumilia basi sioni sababu ya kulalamika. Kuvumilia ni kwa hiari na kama mwanamke fulani anaona ni kazi kubwa mno basi anajua cha kufanya. Ni hivyo tu!
 
Anapo ambiwa avumilie hashikiwi sime anaambiwa tu kwa ukarimu vumilia tabu na raha yeye ndo mwenye kuamua
 
Wanaume hawawezi kuvumilia kwasababu wanawake wanafanya kwa siri na kwa uangalifu mkubwa sana......................

Hawagunduliki kirahisi kuliko wanaume wanajisahau wengine wakilewa wanaacha sms, simu nk so mwanamke anafanya na akili zote tena kwa uangalifu kwa hiyo HAWAGUNDULIKI ............................. na kuonekana watakatifu...............(Maswali mengi hapana taka)

Duh! Nakubaliana na wewe.

Btw, wewe naona unapenda sana kuangalia kile kipindi cha Cheaters...lol. Walahi kile kipindi ukikiangalia mara kwa mara mtazamo wako kuhusiana na mahusiano ya kimapenzi unaweza kubadilika. Manake wale jamaa wana cover jinsia zote. Halafu mle unaweza ukajizolea mbinu kibao wanazotumia watu wakati wa kucheat. Demu anakupigia simu anakwambia ai lavu yu bebi huku kapakatwa na njemba ingine....ahahahahahaaa daaah khatari lakini salama!!!
 
WanaMMU,

Mi bado kuelewa kitu.

kwanini wanawake tu wavumilie matatizo ya wanaume ili hali mwanaume hawezi kuvumilia?

kwani sie wanawake ni mitambo ya kurekebisha tabia, kwamba nikivumilia atabadilika?Hainipi kabisa hili..:angry:

Nawasilisha.Tujadiliane
Mungu kakupa betri mbili size 34 kifuani halaf unalalamika bana? wee vumilia tu.
 
wanawake tumeumbwa kwa jinsi ya ajabu sana na uvumilivu usioweza kupimika ndo maana tulipewa uwezo wa kubeba mimba nakuzaa kwa uchungu,hujawahi kujiuliza pamoja na machungu tunayokutana nayo wakati wa kujifungua na madhahama ya kuumizwa lakini ukipita muda kidogo huwa tunasahau na kubeba nyingine.

Mambo tuliyobarikiwa ni zaidi ya kutazama kwa macho na kuyapa majibu,tutasema sana lakini tulipewa uwezo huo na MWENYEZI MUNGU na ndio maana wengi tunaishia kulalamika lakini hatufanyi lolote.
 
Duh! Nakubaliana na wewe.

Btw, wewe naona unapenda sana kuangalia kile kipindi cha Cheaters...lol. Walahi kile kipindi ukikiangalia mara kwa mara mtazamo wako kuhusiana na mahusiano ya kimapenzi unaweza kubadilika. Manake wale jamaa wana cover jinsia zote. Halafu mle unaweza ukajizolea mbinu kibao wanazotumia watu wakati wa kucheat. Demu anakupigia simu anakwambia ai lavu yu bebi huku kapakatwa na njemba ingine....ahahahahahaaa daaah khatari lakini salama!!!

Katika vipindi ambavyo huwa sikosi hiki ni kimojawapo. Wanacheat mbaya mpaka sometimes unaangalia unaona aibu wewe na unaogopa vile wanavyofumaniwa.......................
 
Back
Top Bottom