WanaMMU,
Mi bado kuelewa kitu.
kwanini wanawake tu wavumilie matatizo ya wanaume ili hali mwanaume hawezi kuvumilia?
kwani sie wanawake ni mitambo ya kurekebisha tabia, kwamba nikivumilia atabadilika?Hainipi kabisa hili..:angry:
Nawasilisha.Tujadiliane
Mvumilivu hula mbivu..
Au mbovu!
I salute this....! Duh, kumbe kuna mambo....!Wanaume hawawezi kuvumilia kwasababu wanawake wanafanya kwa siri na kwa uangalifu mkubwa sana......................
Hawagunduliki kirahisi kuliko wanaume wanajisahau wengine wakilewa wanaacha sms, simu nk so mwanamke anafanya na akili zote tena kwa uangalifu kwa hiyo HAWAGUNDULIKI ............................. na kuonekana watakatifu...............(Maswali mengi hapana taka)
Nyie wanawake mnaongoza kwa kucheat na ni wasiri mno,mwanamke mmoja ana mabwana wanne..punguza kulalamika.
Kama mwanamke hajalazimishwa kuvumilia basi sioni sababu ya kulalamika. Kuvumilia ni kwa hiari na kama mwanamke fulani anaona ni kazi kubwa mno basi anajua cha kufanya. Ni hivyo tu!
Wanaume hawawezi kuvumilia kwasababu wanawake wanafanya kwa siri na kwa uangalifu mkubwa sana......................
Hawagunduliki kirahisi kuliko wanaume wanajisahau wengine wakilewa wanaacha sms, simu nk so mwanamke anafanya na akili zote tena kwa uangalifu kwa hiyo HAWAGUNDULIKI ............................. na kuonekana watakatifu...............(Maswali mengi hapana taka)
Mungu kakupa betri mbili size 34 kifuani halaf unalalamika bana? wee vumilia tu.WanaMMU,
Mi bado kuelewa kitu.
kwanini wanawake tu wavumilie matatizo ya wanaume ili hali mwanaume hawezi kuvumilia?
kwani sie wanawake ni mitambo ya kurekebisha tabia, kwamba nikivumilia atabadilika?Hainipi kabisa hili..:angry:
Nawasilisha.Tujadiliane
Duh! Nakubaliana na wewe.
Btw, wewe naona unapenda sana kuangalia kile kipindi cha Cheaters...lol. Walahi kile kipindi ukikiangalia mara kwa mara mtazamo wako kuhusiana na mahusiano ya kimapenzi unaweza kubadilika. Manake wale jamaa wana cover jinsia zote. Halafu mle unaweza ukajizolea mbinu kibao wanazotumia watu wakati wa kucheat. Demu anakupigia simu anakwambia ai lavu yu bebi huku kapakatwa na njemba ingine....ahahahahahaaa daaah khatari lakini salama!!!
Mvumilivu hula mbivu kwa nn usivumilie mama?
Fidel mwisho wa mbivu huwa mbovu ( vimeoza)