Wanaume hawawezi kuvumilia kwasababu wanawake wanafanya kwa siri na kwa uangalifu mkubwa sana......................
Hawagunduliki kirahisi kuliko wanaume wanajisahau wengine wakilewa wanaacha sms, simu nk so mwanamke anafanya na akili zote tena kwa uangalifu kwa hiyo HAWAGUNDULIKI ............................. na kuonekana watakatifu...............(Maswali mengi hapana taka)
Too bad mimi sio mvumilivu kupitiliza kwenye maswala ya mwanaume na mwanamke.Hizo mbivu acha wasubirie wengine.Subili tu mpaka utapata mbivu.
Hata mwanaume awe mkatili vp wewe vumilia tu.
Na ngoja ngoja huumiza matumbo!Kumbuka kuwa subira yavuta kheri.
ndio maana wanawake wameumbwa tofauti na wanaume sehemu yao ya kifua