demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Hili swali huwa najiuliza Mara nyingi sana, licha ya Jamaa kuwa na uwezo kwenye kusakata kabumbu ....Hivi kwanini hatujawahi kusikia jamaa akihitajika sehemu Fulani akafanye trials kama wenzake akina Ndemla, Ajibu, Msuva na Mkude au kama Mao?
Ina maana uwezo wa huyu Jamaa umepitwa na viungo hao wote? Licha ya kusifiwa sana kuuweza mpira.
Je hivi jamaa miaka yote amekuwa akiwa Overrated kwenye soka la Bongo?
Maana hili jambo huwa haliniingii kumkichwa kabisa.
Unaweza kusema labda hayuko exposed sana kwenye mazingira ya kuwa scouted, lakini mbona amezurura sana na wana Jangwani kwenye mechi za kimataifa? Kwann aonekane Msuva pekee.
Au kwanini aonekana Ndemla ambaye ni mara chache sana hupata namba kikosi cha kwanza?
Mnaonaje wana jamvi? Huyu jamaa anakuwa overrated au ni nini haswa?.