Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,430
- 5,910
Jirani kauguliwa na mtoto kumpeleka hospitali kupima Malaria kwa kipimo cha MRDT hakuna Malaria. Kufika usiku joto limezidi. Asubuhi akadamkia hospital nyingine alipofika kamueleza doctor kashauri achukuliwe vipimo vyote.
Lakin kabla ya vipimo dokta aliombwa kama anampima malaria atumie kipimo cha BS maana MRDT anaona sio kipimo cha uhakika. Alimjibu BS inahitaji mtu mzoefu ili kutoa majibu sahihi.
Majibu yanatoka mtoto hana tatizo lolote wakampa Panadol ya kushusha homa
Kufika usiku mwendo ni ule ule homa kali.
Asubuhi mama kajitoa ufahamu kumuanzishia mtoto dozi ya malaria. Mpaka sasa mtoto yuko vizur hakuna homa wala nini.
Na hili jambo ni zaid ya mara moja hata watu wazima kupima malaria hakuna kitu ukitumia dozi unapona tatizo nin au vipimo vyetu au wataalamu wenyewe hawana ujuzi navyo,