MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Wajuzi naomba mnisaidie, Shida ni nini? Kwanini nyasi za pitch kwa Mkapa hazijawahi kuwa smart kama za wenzetu? Nini kifanyike?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kwamba hizo picha zote ulizoweka hapo ni za nyasi bandia? Au unamanisha na uwanja wa taifa uwekewe nyasi bandia za kiwango cha juu kama za ulaya? Lakini fifa hupendelea nyasi halisiWajuzi naomba mnisaidie, Shida ni nini? Kwanini nyasi za pitch kwa Mkapa hazijawahi kuwa smart kama za wenzetu? Nini kifanyike?
View attachment 2811666View attachment 2811667View attachment 2811668
Hii comment imejibu swali la nyasi na zaidi.Unawazia mbali sana. Siku kama mbili kabla ya ufunguzi wa AFL niliona mtu amekaa chini anakata majani yale yanayochomoza pembeni kwa kutumia mkasi na mafundi waliokuwa wanajenga wengine walikuwa wamevaa ndala.